Kulipa mtandaoni kwa urahisi
Google Pay ni mshirika wako wa kulipa mtandaoni.
Lipa kwa njia salama kwa kufuata hatua chache tu.
Kipengele cha kujaza kiotomatiki
Kasi wakati wa kulipa mtandaoni
Kipengele cha kujaza kiotomatiki huhifadhi maelezo ya kadi yako ili uweze kuyaweka kiotomatiki wakati wa kulipa, katika Chrome na kwenye vifaa vya Android. Ikiwa inatumia usalama unaotimiza viwango vya sekta, kipengele cha kujaza kiotomatiki ni njia salama ya kulipa haraka mtandaoni.
Nunua kupitia Google Pay
Lipa kwa kubofya tu
Kitufe cha Nunua kupitia Google Pay kinakusaidia katika mchakato wa kulipa kwa kubofya tu. Ni muunganiko kamili wa urahisi na usalama wa ziada, mtandaoni na kwenye programu.
Lipa kwa hatua chache