Jump to Content

Kulipa mtandaoni kwa urahisi

Google Pay ni mshirika wako wa kulipa mtandaoni.
Lipa kwa njia salama kwa kufuata hatua chache tu.

mwanamke anayesoma maudhui kwenye simu
Kipengele cha kujaza kiotomatiki

Kasi wakati wa kulipa mtandaoni

Kipengele cha kujaza kiotomatiki huhifadhi maelezo ya kadi yako ili uweze kuyaweka kiotomatiki wakati wa kulipa, katika Chrome na kwenye vifaa vya Android. Ikiwa inatumia usalama unaotimiza viwango vya sekta, kipengele cha kujaza kiotomatiki ni njia salama ya kulipa haraka mtandaoni.
Nunua kupitia Google Pay

Lipa kwa kubofya tu

Kitufe cha Nunua kupitia Google Pay kinakusaidia katika mchakato wa kulipa kwa kubofya tu. Ni muunganiko kamili wa urahisi na usalama wa ziada, mtandaoni na kwenye programu.

Lipa kwa hatua chache

Bofya kitufe cha Nunua kupitia Google Pay wakati wa kulipa
Chagua njia ya kulipa unayopenda na anwani ya mahali bidhaa zitakapopelekwa
Unahitaji kufanya hayo tu! Umekamilisha kulipa.
Je, wewe ni mmiliki wa biashara anayetaka kuweka kitufe cha Nunua kupitia Google Pay kwenye tovuti yako?

Lipa ukitumia Google